EDMARK BUBBLE C

TSh35,000TSh37,0005% OFF

*KWANINI TUNAHITAJI VITAMIN C ?* Vitamini C inahitajika sana mwilini kwa sababu zifuatazo:- 1.Kuiongezea nguvu kinga ya mwili. 2.Inasaidia katika utengenezwaji wa mifupa , meno,misuli na ngozi 3.Inasaidia katika utengenezwaji wa Collageni ya asili katika mwili 4.Kuzuia maambukizi ya magonjwa na pia kuufanya mwili kupona haraka kutokana na vidonda pindi mwili ukivipata 5.Inasaidia katika kuwezesha mwili kuweza kufyonza madini ya chuma na madini mengine kutoka katika vyanzo vyake vilivyoingia mwilini *NANI WAHITAJI WAKUBWA WA VITAMN C ?* -Kila mtu anahitaji Vitamini C , kuanzia mtoto kijana mpaka watu wazima wanaokadiriwa kufika miaka hamsini (50) na kuendelea. -Wale wote ambao wanaanza kupona taratibu kutoka kwenye magonjwa yawe madogo ama makubwa kwa sababu mwili unahitaji kutengeneza upya katika hali nzuri -Wale watu ambao wanasumbuliwa na mafua iwe ya mzio(allergy) ama ya kawaida mfano wanaosumbuliwa na kikohozi pia wanahitaji kwa kiasi kikubwa Vitamini C kwa matokeo ya haraka ya kupona. Kwa kawaida kila siku mwili unahitaji upate walau miligramu sitini(60) za Vitamini C.Hii ni kwasababu mwili hauitengenezi wenyewe bali unaihitaji. Hivyo basi unapaswa kula walau tunda moja kwa siku, kwa sababu matunda ni chanzo kikuu cha Vitamini C hasa kupitia tunda Chungwa. Ikiwa wewe si mpenzi wa kula matunda na mboga mboga inakuwa ngumu kwako kupata Vitamini C. Hivyo basi *EDMARK INTERNATIONAL* wamekurahisishia hilo kwa kukuletea *EDMARK BUBBLE C* kuwa mbadala mzuri wa kuipata vitamini C katika mwili wako. *EDMARK BUBBLE C NI NINI?* Ni kinywaji kichangamfu chenye ladha ya chungwa ambacho kimejazwa Vitamini C asilia ikiwa imechanganywa na Kalsiam ambayo inakupa wewe mtumiaji nguvu na kukuchangamsha katika kila tone utakalo kunywa Edmark Bubble C inakupa uhakika wa wewe kupata Vitamini C na kalsiam kila siku ukiwa umeketi popote ulipo bila wasiwasi ukinywa kwa raha zako Glasi moja ya Edmark Bubble C ni sawa na Vitamini C iliyopo katika machungwa matatu yaliyo bora kwa afya zetu. *SIFA ZA EDMARK BUBBLE C* Ina sifa zifuatazo:- -Imetengenezwa kwa kutumia machungwa halisi yenye afya -Imejazwa Vitamini C kwa wingi kuliko chochote -Inalindwa madini ya Kalsiam -Ladha yake ni tamu na yenye kuvutia *FAIDA ZA BUBBLE C* Ina faida zifuatazo:- -Inasaidia kuimarisha kinga ya mwili -Inasaidia kupambana na mafua na maambukizo mengineyo -Inasaidia katika utengenezwaji wa mishipa ya damu na tishu zingine nyingi -Inasaidia ubongo uweze kufanya kazi yake vizuri -Inazuia ugonjwa wa kiseyeye -Inasaidia pia kuzuia vimelea vya kansa na magonjwa ya moyo -Inasaidia kutunza nywele na ngozi zisiharibiwe -Inasaidia katika kuponyesha vidonda kwa haraka -Inasaidia katika utengenezwaji wa Collagen ya mwili -Inasaidia katika ufyonzwaji wa virutubisho kama madini ya chuma na vyakula vya protini kufyonzwa pia..

Rating & Reviews

No reviews

First to review

Purchased this Product?

Login & Drop Your Valuable Review